changamoto ya usafiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Dodoma: Ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo unategemewa kutatua changamoto ya usafiri

    Kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo yenye urefu wa kilomita 16, pamoja na ujenzi wa kalavati la Chikopelo, kumeleta faraja kwa wananchi wa vijiji vya Chikopelo na Zegele, wilayani Bahi, Dodoma. Mradi huu ni sehemu ya juhudi za Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
  2. N

    KERO Ikifika usiku nauli ya Njiro, Arusha inapanda mpaka Tsh. 1,000 kutoka Tsh. 600

    Salama wakulal? Kuna shida hapa Arusha, haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku! Kwanini wanafanya hivyo wakati nauli inajulikana ni mia sita?
  3. A

    KERO Changamoto ya usafiri wa daladala nyakati za usiku Buhongwa-Usagara

    Habari, Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali inayowaumiza abiria hao Tafadhali mamlaka ziangalie hili
  4. The Watchman

    Hivi kwa watu wanaoishi Kigamboni hii changamoto ya usafiri itakuja kuisha kweli?

    Vijana wengi wenye harakati zao hapa mjini utasikia wakisema ooh mimi siwezi kuishi kigamboni, mara usafiri wa taabu sana, ivi hii changamoto itakuja kuisha kweli?
  5. RIGHT MARKER

    Changamoto ya usafiri kila ifikapo mwezi Disemba

    📖Mhadhara (62)✍️ Kumekuwa na changamoto ya usafiri kipindi cha mwezi Disemba hasa karibia na tarehe za sikukuu ya X-Mass na Mwaka mpya. Hiki ni kipindi ambacho watu wengi wanasafiri kwa ajili ya kwenda kula sikukuu mikoa mbalimbali. Sikatai kuwa kipindi hiki vyombo vya usafiri vinazidiwa nguvu...
  6. Gulugujatza

    Mabasi ya mwendokasi yawe suluhisho kwa wanafunzi mikoani

    Habari za Asubuhi mlio hai na kupata uzima wenye Nuru na baraka kutoka kwa Mungu Mwenye mamlaka ya dunia hii. Leo Asubuhi Wakati naelekea kwenye mazoezi ya kuweka mwili fiti kidogo nilibahatika kupitia kwenye Barabara kubwa yenye mengi magari hapa mkoani kwangu,kubwa zaidi lilonifanya nifike...
Back
Top Bottom