changamoto ya ving'amuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kikwava

    Hii Teknolojia ya madish ya ving'amuzi vya TV itapotea lini? Tunaomba wahusika waendelee kubuni njia nzuri zaidi ya ving'amuzi

    husika na maada tajwa hapo juu, Tunaomba wahusika waendelee kuchakata namna nyingine yakisasa zaidi ya ving'amuzi, kama inawezekana hata majumbani tutumie mfano wa vile vung'amuzi vya kwenye mabasi maana haya madishi imekuwa kero sana hasa kwenye swala la kuyumba, unaweza kuta umelipia leo kwa...
Back
Top Bottom