nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali
Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12
Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika nafasi yake with full power and Authority kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anasimama kama taa ya matumaini na maendeleo kwa taifa letu pendwa ikiwemo maswala ya ajira selikalini na sector binafsi. Kwa uongozi wake usio na kifani na...
Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree
Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
Kama Kichwa kinavosema.
Baada ya kumaliza Chuo 2018 na kufanya kazi kwenye Sekta binafsi niliona ni kupoteza muda na mateso pale unapokaa miezi hadi mitatu bila mshahara nikaamua niache kazi na kujiajiri kwa kufanya biashara.
Ila sijawahi kupigika na maisha kama 2022 mwaka nilioamua kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.