Siku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri
Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.
Kaomba leseni, mimi sina na biashara yangu hata mwaka haija fika ila nina viambatanisho vyote kama vyeti muhimu.
Wakuu tayari...
Mimi ninafanya shughuli za kujiajiri mwenyewe, kitu ninachoshangaa ni pale nikiwa na rafiki/marafiki, ndugu au wife halafu nikapigiwa simu na mteja wangu tukaanza kupatana bei.
Baada ya hapo piga ua garagaza hiyo kamwe haitafanyika hata iweje, jambo hili limekuwa linaniumiza kichwa muda mrefu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa tamko la kuwataka Wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Dar es salaam kujiepusha na migomo na kila mmoja kujitafakari, hii ni baada ya kusambaa kwa taarifa jana kuhusu Wafanyabiashara wa Dar es Salaam na Mikoa mingine kupanga kugoma.
Akiongea...
Leo hii nimeamua, kushika kalamu kuandika hili kwamba wafanyabiashara wadogowadogo waliopo Mbezi wanapata kadhia sana kwenye kufanya shughuli zao za kila siku, ila wenye taabu kubwa ni wafanyabiashara wa ice cream (ukwaju) wanapata kadhia wakiwa katika stendi ya daladala ya juu kutoka kwa...
Anonymous
Thread
askari kuonea raia
changamotozabiashara
haki za kufanya biashara
kadhia kwa wafanyabiashara mbezi
kuzuia wafanyabiashara
suma jkt