Wanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu
Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko nikapaki Gari nikashuka, ile kushuka tu nikamuona binti mmoja ambae alinivutia sana na yeye akawa...