changamoto za mahusiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samaritantz

    Changamoto za mahusiano naomba ushauri

    Habari za wakati huu jamani. Mimi ninachangamoto moja ninapendwa na mwanamke ambae tayali kwao amesha tolewa posa na huyo mwanamke hataki kuniacha. Naombeni ushauri wadau.
  2. Fine Wine

    Afanyeje ili aweze kumsahau mwanaume anayempenda na kuendelea na maisha yake?

    Habari yako, Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida kipindi mimi ndo naanza form five, lakini mpaka namaliza form six bado nilikuwa naye. Sasa baada ya...
  3. Mtoto wa nzi

    Maumivu ya Usaliti: Safari yangu ya kutafuta amani baada ya miaka 12 ya ndoa

    Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa nalala naye, ingawa hamu zilikuwepo. Tulipima, na alijuta, akijua kosa lake. Hata kama alikuwa na...
  4. Uhuru24

    Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

    Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa anafanya kazi zamani mkoa wa Mwanza na sasa hivi inasemekana amepata kazi Dar es Salaam hivyo kuhama...
Back
Top Bottom