changamoto za mahusiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Changamoto za mahusiano naomba ushauri

    Habari za wakati huu jamani. Mimi ninachangamoto moja ninapendwa na mwanamke ambae tayali kwao amesha tolewa posa na huyo mwanamke hataki kuniacha. Naombeni ushauri wadau.
  2. Afanyeje ili aweze kumsahau mwanaume anayempenda na kuendelea na maisha yake?

    Habari yako, Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida kipindi mimi ndo naanza form five, lakini mpaka namaliza form six bado nilikuwa naye. Sasa baada ya...
  3. Maumivu ya Usaliti: Safari yangu ya kutafuta amani baada ya miaka 12 ya ndoa

    Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa nalala naye, ingawa hamu zilikuwepo. Tulipima, na alijuta, akijua kosa lake. Hata kama alikuwa na...
  4. Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

    Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa anafanya kazi zamani mkoa wa Mwanza na sasa hivi inasemekana amepata kazi Dar es Salaam hivyo kuhama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…