Poop! Funika, funua... Ngoja niwafunulie!
Wadau wa JF, poleni na pilika za maisha, njooni tusimuliane! Leo nimekuja na bango lenye swali moja: "Tunaishi au tunapona?"
Maisha yetu ni kama bati la nyumba—linapopigwa na mvua, linatoa sauti, lakini halilia. Tunatembea barabarani tukitabasamu...
Habarini ndugu zangu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Maisha ya mwanadamu ni mjumuisho wa vitu vingi sana, tunapambana Kila kukicha kuhakikisha tunakuwa Bora zaidi ya tulivyokuwa Jana.
Lakini kwa sasa kwangu hii imekuwa tofauti. Najua wengi tunapitia changamoto lakini tunapambana na...
Habari jamvini.
Leo nina jambo naliwaza kidogo. 80% ya mahudhui ya mitandaoni ni vichekesho na vituko na ndio wengi wanaangalia hasa hususan mabinti. Wenyewe wanaviita vibinti ya 200.
Fact 2: kuna ushahd mkubwa kuwa wanaume mara nyingi ndio wanaowahi kwenda akhera madukan na kuacha wake zao...
Katika jangwa la kaskazini mwa Australia Kusini, kuna mji mdogo maarufu ulimwenguni kwa uzalishaji wa vito vya opal unaojulikana kama Coober Pedy.
Zaidi ya asilimia 70 ya opal zinazoteumiwa duniani hutoka katika mji huu, ambao ulianzishwa mwaka 1915 baada ya wachimbaji kugundua vito hivyo vya...
Natumai mko salama. Ningependa kushiriki nanyi wana Jf kuhusu hali yangu ya kifedha na biashara yangu. Biashara yangu imekuwa ikifanya kazi kwa mwaka sasa, lakini mapato yameanza kupungua kutoka kiwango kilichokuwa awali hadi kufikia nusu (ni miezi mitano sasa) Nina mfanyakazi niliemlipa kila...
MY STORY: Alinibebesha ujauzito Mama yangu akamakataa akafungwa miaka 30 kisa Dini.
Nilipomwambia Mama yangu kuwa nina ujauzito wa mwanaume ambaye si wa dini yangu, alikasirika sana. Aliniambia nisimwambie mtu yeyote na hakuna namna nitaolewa na huyo mwanaume. Wakati huo, baba yangu alikuwa...
Wote tunaishi dunia hii, lakini kwa namna gani tutaiangalia sayari yetu ya dunia, itategemeana na hisia au feelings tulizo nazo katika wakati husika.
Iko hivi, ukiwa na hisia hasi au kuwa na hasira au huzuni, hakika utaiangalia dunia katika namna mbaya sana,mtu kama huyu atalaumu kila kitu...
KILA SIKU KUNA WATU WANAFANIKIWA KWENYE MAZINGIRA UNAYOONA NI MAGUMU.
1. Kipindi unalaani mahusiano kuna ndoa kila siku zinafungwa.
2. Kipindi unasema hakuna ajira kuna wanaoajiriwa kila siku
3. Kipindi unasema biashara ngumu kuna ambao wanauza mpaka wanakataa wateja.
4. Ukisema mshahara mdogo...
Wakuu habari ya muda huu.
Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia.
Mchana wangu umeharibika ghafla sana.😅 Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo...
Heshima kwenu Wakuu.
Naam, hii ni fursa ya kubadilishana mawazo hasa kwa wale wenye changamoto za maisha ili ku-share experiences na skills za hapa na pale. Kwahiyo karibu sana na ujisikie huru. Itapendeza iwapo utaelezea kwa undani kidogo changamoto uliyonayo ili iwe rahisi kusaidiwa.
Je...
Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro.
Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro.
Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
Hadithi Hadithiii..
Kulikuwa na mvuvi mmoja kwa bahati mbaya akiwa kwenye kazi yake ya kuvua basi boti yake ilizama. Kwa bahati nzuri alifanikiwa kuogelea na kufika kwenye kisiwa kimoja kilicho kuwa karibu na sehemu ambapo boti yake ilizama.
Basi siku zikazidi kwenda na kwa bahati mbaya hakuna...
Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.
UTANGULIZI
Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
Utangulizi
Uziwi ni hali ya upotevu wa usikivu. Hali hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile magonjwa,ajali,uziwi wa kuzaliwa nao,kuishi sehemu yenye baridi sana na uchafu wa masikio.
Kwa nchi ya ulimwengu wa tatu kama Tanzania Viziwi na walemavu kwa ujumla ni watu waliosahaulika. Ni watu...
Wakuu poleni na harakati za maisha.
Mpaka kufikia mwaka 2018 maisha kwangu yalikua tambarare kabisa, sikua na uchumi wa juu lakini nafikiri nilifikia uchumi wa kati wa juu. Biashara ya kuingiza pesa kila siku ambayo niliisimamia mwenyewe na nyingine hizi za kuleta hesabu kwa wiki kama boda boda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.