Nianze kwa kusema nimeiona jezi ya Simba na mimi nimevutiwa na ile nyeupe.
Kingine Mimi sio shabiki wa simba.
Ila kwa kinachoendelea kimenifanya nione kua kumbe wana simba mna MATATIZO sana katika Akili yenu.
Leo Mnamuita SANDALAND anawa hujumu katoa jezi Mbaya Mara kaandika Neno SANDA mbele...