changamoto za muungano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Zanzibar: Mdau aiomba Serikali na Rais Mwinyi kupiga marufuku Bongo Fleva ambazo hazina maadili kuchezwa Zanzibar

    Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar. Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar. Soma Pia: Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika...
  2. Determinantor

    Ukweli usemwe, Wazinzabar wanaipenda Nchi yao kama Mama Yao, Tanganyika hamna kitu

    In a very serious note, Wazenji Wana uchungu na Nchi/kisiwa Chao, wanajua Haki zao na Wanajua kujenga hoja na kutafuta fursa kwa ajili yao na Ndugu zako na kesho Yao. To be honest, Zanzibar wangepewa TANGANYIKA Leo hii, huu upumbavu unapendelea I am sure usingekuepo. Sio Vibaya kujipenda na...
  3. Tulimumu

    Hivi ni sawa marais wote kutokea upande mmoja?

    Tanzania ndiyo nchi pekee duniani inayotawaliwa na marais wawili kwa wakati mmoja, mabunge mawili, nyimbo za taifa mbili, majaji wakuu wawili, katiba mbili, bendera mbili, maspika wawili, makamu wa rais sasa hivi watatu, marais wanaopigiwa mixinga 21 wawili nk Zamani ilikuwa Rais akitokea...
  4. Clever505

    Tanganyika ni lazima iendelee kuungana na Zanzibar?

    Mimi naishi Zanzibar sasa ni mwaka wa 12, nimekuja huku nikiwa mdogo sana 2012 nikiwa na miaka 19, mpaka sasa naanza kuwa mtu mzima kuna mambo nayaona huku ambayo mtanganyika ukija huku ukakaa siku mbili/tatu huwezi kuyaelewa. Adui wakubwa wa Wazanzibar ni: 1. CCM Huku watu wote hawaitaki...
  5. greater than

    Suluhisho za changamoto zilizopo kwenye Muungano Tanzania

    Awali ya yote natumaini wananchi wenzangu wote mpo salama. Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda mwingi umetumika kujadili changamoto kuliko kuweka mawazo ambayo yatatatua changamoto hizo. Uzi huu...
  6. Mshana Jr

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Serikali ya mapinduzi Zanzibar

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania Serikali huru ya Tanganyika (hii iko wapi?) Kwa jinsi mambo yanavyokwenda kuna umuhimu mkubwa kuanza kuuhoji muungano huu. Kuna kitu kilikosewa ama kilisahauliwa kwa makusudi na kamwe hakijawahi kuhojiwa popote! Kwanza lazima tukubaliane hakuna uhuru wa Tanzania...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Yajue mambo 22 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa Aprili 26, 1964 ikiwa ni Muungano wa Mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambapo Jamhuri hizi mbili ziliingia mkataba wa Muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa Dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katiba ya...
  8. Sir robby

    Muungano wetu ulikuwa wa kubadilisha jina kutoka Tanganyika kuwa Tanzania kwani Zanzibar ipo vile vile ila Tanganyika haipo

    Wadau MUUNGANO wetu ni Wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar. Matokeo ya MUUNGANO huu yakaizaa Nchi ya TANZANIA. Jambo la AJABU NCHI ya ZANZIBAR imeendelea kuwepo licha ya kuungana na Tanganyika lakini Nchi ya TANGANYIKA HAIPO Swali Kwanini Tanganyika ilipotea Bali Zanzibar ipo? Kama Serikali ya...
  9. G

    Lipo wapi tatizo kwenye Muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Tafakari!

    It has been a tradition to relish the festival and celebrate the founders of our Union Mwalimu Nyerere and Abeid Karume to parades. However, it has been a sin, too dangerous for anyone to question or want to critique this Union. My purpose here is not to question the history or legitimacy of...
  10. hajimadogo

    Waliohoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wafikia hatua gani?

    Wale ndugu zetu 40,000 wa Tanzania waliofungua kesi mahakama ya Afika Mashariki juu ya kuhoji uhalali wa uwepo nchi ya Tanzania wamefikia wapi? April 26, 2019 Tanzania imeadhimisha miaka 55 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Muungano huo ndio uliozaa Tanzania ambao uliasisiwa na...
  11. Roving Journalist

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sawa na Muungano wa Siria na Ejibti walioungana 1958

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni muungano wa kupigiwa mfano duniani na muungano uliodumu miaka 55 kwa sasa. Ni dola mbili huru zilizoungana Tanganyika walipata uhuru wao Desemba 9/1961 na wapata kiti chao cha Umoja wa Kimataifa tarehe 14/Desemba 1961 namba ya kiti chao (GA Resolution 1667...
  12. MWALLA

    Tuna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tu, siyo Tanzania

    Kwa mujibu wa Mkataba wa Muungano uliotiwa sahihi Aprili 22, 1964 kati ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, na kwa mujibu pia wa Sheria ya Muungano, Namba 22 ya 1964 iliiyoridhia Mkataba huo kuupa nguvu ya Kisheria na kutumika nchini, jina sahihi la Muungano...
  13. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
Back
Top Bottom