Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na wanawake wenye hizi sifa lakini ilikuwa ngumu kudumu kwa sababu yeye kuwa chini yako kwa 100%...
Wakuu hii ndoa inaenda kunichosha aisee yaani mimi kila siku nikupigwa na kusemwa na mke wangu halafu ukizingatia mie ndiye natoa matumizi ya kila siku yeye mke wangu ni mama wa nyumbani yaani goal keeper tu halafu ananiletea kiburi na ujeuri kisa yeye ni mzuri na mweupe tii eti hiki ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.