changamoto za ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mke amehama chumba tulichokuwa tukilala pamoja

    Habari wakuu, Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto. Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida ndani ya nyumba Ni mke wangu wa NDOA ya kanisani kabisa na kwa kuwa naye ananishughulisha basi hata...
  2. kyagata

    Jamaa yangu na mkewe wamejikuta kwenye group moja la kutafuta Wachumba huko FaceBook

    Ni matumaini yangu kila mmoja wetu ni mzima wa afya. Kuna issue moja jamaa yangu kanisimulia na kuniomba ushauri nikashindwa hata pa kuanzia kumshauri asee. Jamaa na mkew wako kwenye ndoa huu ni mwaka wa 5 wanaishi pamoja na wamejaaliwa kuwa na watoto wawili. Jamaa anasema juzi jumapili wakt...
  3. K

    Ninatafuta furaha naipata kwa hila

    Nimeeleweka vzr tu acha muhangaike
  4. Mwachiluwi

    Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

    pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analala na track na jeans na ww mwanaume unamuangalia huna cha kufanya ni.ubwge
  5. LA7

    Kwa mwezi napewa haizidi mara 5 tu. Je, hii ndoa au ndoano?

    Yaani nikipewa jumatatu, jumanne, jumatano na alhamisi anakuwa amechoka, na tena inakuwa ni kimoja. Sasa unajua mimi bado ni kijana lakini kuna wakati hili suala linanifanya nakuwa na hasira kwani ni mpaka apende yeye. Nafikiria kumwacha ila nawaza watoto watakuja kuwa machokoraa. Nawaza kuwa...
  6. Right Way In Light

    Naomba ushauri wako juu ya kipi nifanye kwa hiki kilichotukumba kwenye ndoa

    Wakuu heshima kwenu. Polen na hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku. Niko kwenye hali fulani ya mkanganyiko kidogo. Nasema kidogo kwasababu ni kama niko njia panda japo kuna njia ambayo kwa mujibu wa misingi ya imani na utamaduni na maadili yangu najua nitaiendea njia hiyo japo naona ni...
  7. Tlaatlaah

    Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

    Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa. Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana...
  8. shibela

    Kwa wadogo zangu wazuri! Furahieni kila hatua kwenye maisha yenu

    Kama wewe sio mdangaji na haujaolewa! 1. Ukiona mtu Yuko kwenye ndoa halafu anakupigia kelele unaolewa lini kila siku, jua ndoa Yake ina shida anapitia mazito kwenye hiyo ndoa, anakuonea wivu jinsi unavyo enjoy maisha yako ya ubachela anatamani na wewe uingie mkenge uteseke kama yeye! Akili...
  9. N

    Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Nimekutana na hii Mahali mke wa mchungaji shusho anataka kupindisha sheria ya mtu mzima isiwe kwanzia miaka 18. Adai aliolewa akiwa mtoto na mume hana mchango kwenye mafanikio yake. Jamani na kama maamuzi kwanini asiyafanye wkt ule Yuko Binti maana Kwa sasa sijui anautoto upi
  10. Maleven

    Either ndoa ni ubatili ila watu wanafanya siri, au mimi natumia sana akili au sina akili, au niliempata hastahili

    Kati ya hayo, moja wapo yaweza kua ni jibu sahihi au hata zaidi. Kwasasa mke wangu akiniudh chochote, pressure inapanda, na vidonda vya tumbo vuaamka. Stress anazonipatia hata kwenye utafutaji pesa sipati hivyo huenda ndoa ni ubatili, walioimudu wanatumia akili na mimi sina akili. Huenda...
  11. Melki Wamatukio

    Ndoa za siku hizi hazina uaminifu hata kidogo

    Inasikitisha sana. Mbususu zinachakatwa sana nje ya ndoa hasahasa kwenye mtaa wangu. Nina mpango kusaidiana na jeshi la sungu sungu ili kuwakabili wanaume wenye tabia za kuchakata wake za watu ilihali wanajua wazi kuwa huyu ni mke wa mtu. Kwenye mtaa wangu si tu vijana, yaani hadi wazee wanaruka...
  12. W

    Napinga kabisa dhana ya "Mume ni Provider" katika ndoa

    Ndio, napinga!, Ni dhana ya uongo na inakiuka kabisa asili ya maisha ya ndoa! Ndoa ni muunganiko wa mtu mume na mtu mke na kuzaa watoto kisha kuwatunza. Jumuia hii ya familia inahitaji mahitaji mbalimbali ya maisha kwa maendeleo yake. Kuna watu wachache wanaibuka hapa bila hata chembe ya aibu...
  13. Mtoto wa nzi

    Maumivu ya Usaliti: Safari yangu ya kutafuta amani baada ya miaka 12 ya ndoa

    Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa nalala naye, ingawa hamu zilikuwepo. Tulipima, na alijuta, akijua kosa lake. Hata kama alikuwa na...
  14. shuka chini

    Ndoa hizi zitatuua jamani!

    Ndoa hizi zitatuua. Jamani ipo hivi. Mimi ni mume mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi. Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi...
Back
Top Bottom