changamoto za nida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NIDA namba/ kadi imekuwa changamoto sana shida nini? Wekeni fees tulipe basi kuondoa haya

    Hivi kuna tume inayoweza kufwatilia upatikanaji wa hivi vitambulisho vya nida Yaani vimekuwa kama passport ya kuingia mbinguni Unambiwa njoo wk 2 upate namba unafika wiki ya tatu unaambiwa hamna njoo wiki ijayo Unakwenda unaambiwa chukua no hii uwe unatupigia ukiwa tayari tu takujulisha Hapo...
  2. Waziri Masauni: NIDA kuna shida ya usimamizi, Uongozi una shida, Watu wanateseka kupata Vitambulisho

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelazimika kutoka Ofisini na kufuatilia utendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambapo mamlaka hiyo imekuwa ikilalamikiwa na Wananchi kwa utendaji na utoaji wa Vitambulisho usioridhisha. Waziri Masauni amefika katika Ofisi...
  3. A

    KERO NIDA Nachingwea wana huduma mbovu na wanajenga mazingira ya rushwa

    Ofisi za NIDA katika wilaya ya Nachingwea zina matatizo na usumbufu mwingi sana, kuna watu wamepeleka form toka mwaka jana mwezi wa nane lakini cha kushangaza mpaka leo hawajapata namba zao na ukifuatilia wanakuambia kuwa mtandao unasumbua. Kuna wengine wanaambiwa kuwa watoe elfu 50 kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…