changamoto za nyumba za kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

    Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi. Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao...
  2. Nyumba nzuri, kodi nafuu lakini nyumba ilikuwa ina jinamizi

    Habari wana JamiiForums! Nimekuwa msomaji wa muda mrefu humu, lakini leo nimeona ni bora nishiriki moja ya matukio ya kutisha zaidi kuwahi kunikuta maishani mwangu. Najua kuna watu wengi hawataamini, wengine watafikiria ni hadithi za kutunga, lakini nawaambia kwa uhakikaโ€”nilipitia jinamizi la...
  3. Nyumba ninayoishi inasemwa kuwa ina mauzauza sana lakini sijawahi kuyaona

    Wakuu nyumba ninayo ishi(nimepanga),kiukweli nyumba hii inasemwa vibaya sana na watu mtaani,..inasemwa kuwa ina mauzauza sana. Watu huniuliza sana ninaishije mahali hapa,..hata mwenyeji nikimuelekeza ninaishi nyumba flani hunishangaa sana,...kiasi mimi nina miaka mitatu lakini sijawahi kuona...
  4. Jamaa kaingizwa chaka na dalali kwenye nyumba ya kupanga

    Kuna bwana mdogo mtoto wa jirani yangu tulikuwa naye hapa Dom alimaliza chuo akakosa ajira ikabidi aje tupige naye mishe za kuuza majeneza angalau apate japo pesa ya kula na tumekuwa naye hapa for almost one year Sasa week iliyopita amebahatika kupata ajira kwenye taasisi moja binafsi Dar...
  5. Mpangaji mwenzangu amekuwa na tabia ya kunijali sana kama mimi ndio mume wake vile

    ๐˜๐˜ข๐˜ฃ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช ๐˜ป๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ถ, ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฑ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ธ๐˜ข, ๐˜”๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ซ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ 26. ๐˜•๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ฑ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฉ๐˜ฆ๐˜ฎ๐˜ถ ๐˜ง๐˜ญ๐˜ข๐˜ฏ ๐˜ต๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฑ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข๐˜ซ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ข, ๐˜ธ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฆ ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข๐˜ซ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜บ๐˜ฆ๐˜ฐ๐˜ธ๐˜ข ๐˜›๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฆ ๐˜ธ๐˜ข๐˜ธ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ฆ ๐˜ธ๐˜ข 3 ๐˜ช๐˜ญ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฆ ๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฏ๐˜จ๐˜ญ๐˜ฆ ๐˜ฎ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฉ๐˜ฆ๐˜ณ, ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜บ๐˜ฆ ๐˜ฐ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ธ๐˜ข, ๐˜š๐˜ข๐˜ธ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข ๐˜ญ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ซ๐˜ข ๐˜ฉ๐˜ช๐˜ท๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ฑ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข๐˜ซ ๐˜ฎ๐˜ฎ๐˜ฐ๐˜ซ๐˜ข ๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข๐˜ข 22 ๐˜ข๐˜ถ 23 ๐˜ฉ๐˜ท, ๐˜ซ๐˜ข๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜ธ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฆ ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข...
  6. Mimi na wapangaji wenzangu tumepgwa faini ya sh200,000/= na serikali ya mtaa. Nipeni mbinu ya kuchomoka hapa

    Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi. Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi usiku nyumbani uratibu wa maswala ya usafi yanafanywa na wanawake nyumbani. Leo imetokea Kama...
  7. Wenye nyumba Dar acheni manyanyaso sisi wengine tunamiliki penthouse tulipotoka

    Huyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na hata hatuvimbi hapa town tupo humble tu. Mtu kumiliki kakibanda Dar es salaam anajiona kama katoboa...
  8. Je, umewahi kusingiziwa/ kusemwa jambo ambalo si kweli?

    Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote. Aisee hii imenitokea Leo na imefanya nakosa usingizi Kwa mawazo. Nimepanga nyumba ambayo jumla tupo wapangaji 3. Wenzangu wote wopo mume na mke isipokua mimi. Jirani mmoja nimese jirani namba 1 alimsimulia jirani namba 2 kwamba mimi jirani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ