changamoto za uhakiki wa taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Changamoto gani unazokutana nazo wakati wa Kuhakiki Taarifa?

    Uhakiki wa taarifa ni mchakato unaohusisha hatua mbalimbali zinazokuwezesha kujua uhalisia wa taarifa au jambo husika. Ni changamoto gani unazokutana nazo unapohakiki taarifa kutoka mtandaoni na hata nje ya mtandao?
Back
Top Bottom