Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.
Sasa Duniani nafanya nini?
Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.
Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️
Wenu...
Upweke wa kutisha zaidi si ule unaotokana na kuwa peke yako, bali ni ule unaotokana na kutoeleweka;
upweke wa kusimama katika chumba chenye watu wengi, ukizungukwa na watu wasiokuona, wasiokusikia, wasiojua kiini cha kweli cha wewe ni nani. Na katika upweke huo, unahisi kana kwamba unafifia...
Kila mmoja huwa anajisikia upweke baadhi ya nyakati.Upweke haubagui,hauchagui unatokea kwa watu wote duniani matajiri kwa maskini,wasomi na wasiofika shule,wazee kwa vijana,waliopo kwenye mahusiano kwa ambao wapo "single" ,upweke unatokea kwa wagonjwa na wenye afya.
Utajuaje kama wewe ni mpweke...
Katika maisha yangu yote sijawahi kuwa na marafiki,na sipendi kabisa masuala ya marafiki,hata nikipata tatizo sina rafiki wa kumwambia mtu pekee ninayeweza kumwambia ni mama tu.
Lakini pia si mtu mwepesi wakueleza hisia ama changamoto zangu kirahisi hata kwa mama,huwa namueleza nikiona kabisa...
Weekend ndio inaendelea hivyo nimetoka job.
Gheto liko, kimya. Hakuna hata mwanamke wa kuongea naye.
Hali ya upweke inanijia..
Nashika simu, upande wa contacts hakuna hata jina la kike nipige.
nahisi mimi na mtatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.