Kila mmoja huwa anajisikia upweke baadhi ya nyakati.Upweke haubagui,hauchagui unatokea kwa watu wote duniani matajiri kwa maskini,wasomi na wasiofika shule,wazee kwa vijana,waliopo kwenye mahusiano kwa ambao wapo "single" ,upweke unatokea kwa wagonjwa na wenye afya.
Utajuaje kama wewe ni mpweke...