Kumekuwa na tension ambayo Yanga wanaitengeza na huwa inawapa faida. Mfamo dabi iliyopita tuliona wazi kabisa mchezaji akichezewa faulo ndani ya box lakini mwamuzi alimeza kipenga zaidi ya mara mbili.
Hii ni kwa vile kwa hapa nchini, ili iwe penalty hadi mtu avunjwe mguu au mbavu. Pia magoli ya...
Tumwinbe Mungu sala ZETU ziwafikie mzifanyie kaziii
NASHAURI kwa MATUKIO machafu yanayoendelea LIGI ya NBC via marefa
Naomba mwakan muwaachie wenyewe wapambane na hali zaooo
Hizi PESA za WAAMUZI zinaonekana aziwatoshi kabisa na sasa wameona wanxe kuharibu mechi za LIGI yetu
Mungu atusaidie...
Azam media na NBC bank inamana bado hamjaliona hili...ukiangalia mechi ya leo ya simba na namungo jinsi refa halivyoboronga mechi hakuna mtanzania atakaetamani kulipia 28,000 yake kuangalia uozo kama huu unaoendelea kwenye ligi yetu
Refa anatoa kadi nyekundu ambayo haieleweki...refa ametoa...
Kwanza nikiri wazi naamini football sio mchezo mzuri Kwa wanawake kushiriki katika kucheza au uamzi labda kwenye uongozi na nafasi nyingine katika football
Si busara wala tamaduni zetu Africa wanawake kuchangamana na wanaume hivo bila stara
Football ni mchezo wa kugusana
Ni rahisi mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.