chang'ombe

Chang'ombe is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 27,622.

View More On Wikipedia.org
  1. Tatizo linalotokana na kukua shughuli za Bandari: Barabara za Kurasini, Mandela, Chang'ombe, Mbagala hazipitiki

    Kila masika na mbu wake, lakini mbu hawa wa kukua sana shughuli za Bandarini, Serikali ijipaange kutatua. Mizigo na shehena za bidhaa zinazoteremshwa Bandarini zimekuwa nyingi mno. Miundombinu ya barabara za kutoa mzigo na kupeleka mzigo bandarini limezua tatizo kubwa la barabara kuelekea...
  2. Chang'ombe: Operating Tea Industry For Sale - Dar

    • Direction: • Structure: • Facilities: • Ideal: • Plot Area: • Document: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬 +255767157788 Mitandao ya Kijamii: @estatedealtz
  3. INAUZWA Chang'ombe: 500 Sqm Workshop / Warehouse For Sale - Dar

    • Direction: Maduka Mawili/Keko Furniture, Toroli Road • Survey: Surveyed • Workshop/Plot Area: 500 sqm • Document: Residence License • Price: TSH 150 million . ✓ panafaa zaidi kwa biashara ya mbao kama kuhifadhi na kuuza au kusimika mashine za kuchana na kuranda pia uundaji samani (furniture) ✓...
  4. R

    Plots, Apartments for Sale

    Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini) Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
  5. D

    House4Sale Nyumba inauzwa Chang'ombe, Dodoma - Bei ni Milioni 50

    Nyumba inauzwa Chang'ombe Extation Dodoma mil 50 Ina vyumba 4, 2 master. Ina sebule, jiko, public toilet na kiwanja sqm 460
  6. Nauza Dry & Reefer | Freezer Containers 40Ft & 20Ft

    Nauza Dry & Reefer | Freezer Containers 40Ft & 20Ft Bei za Dry Containers (Offer till 20th July) 20Ft - Tsh 4.3M 40Ft - Tsh 6.3M Bei za 40Ft Reefer Containers (Offer till 20th July) 40Ft - Tsh 28.5M Zote ziko Dar es salaam Mawasiliano: 0625973365
  7. KERO Ubovu wa barabara Wilaya ya Temeke; Barabara kutoka Kituo cha Polisi Chang'ombe hadi Buza ina mashimo 46!

    Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam. Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku Kero zetu kubwa huku ni usafiri na inayotunyemelea ni ya barabara kuharibika pasipo marekebisho tangu...
  8. P

    Barabara ya makutano ya VETA na Chang'ombe hakuna mataa na taa za barabarani hazifanyi kazi, ni hatari kwa wananchi

    Wakuu kwema? Majuzi nilipita njia hii nikienda kuswampa Saba Saba, wakati wa kurudi ndio nikaona changamoto hii, barabara eneo hili zimekaa vibaya sana, kama siyo mwenyeji ni rahisi sana kusababisha ajali. Hakuna mataa ya kuongozea magari, hivyo magari yanaenda hovyo kila mtu akiwa na lengo la...
  9. House4Rent Temeke Chang'ombe: 3 Bdrm Apartment/Ghorofa Inapangishwa - Dar

    • Direction: Maduka Mawili • Condition: Ya kuhamia • Rent: TZS milioni 2/mwezi • Terms: Miezi 6 au mwaka • Security deposite: TZS milioni 2 (ilipwe mwanzo wa mkataba. Itarejeshwa mwisho wa mkataba kama hakuna uharibifu ndani ya nyumba) • Viewing charge: TZS 20,000 • Malipo ya kamisheni ya...
  10. Chuo Gani tofauti na veta chang'ombe wanatoa course ya generator service and repair

    Habari members Naomba kufahamu kama kuna chuo chochote tofauti na veta chang'ombe ambacho wanatoa course ya generator service and repair na vigezo vyao Asante 🙏
  11. F

    Gharama za viwanja Tabata - Chang'ombe zikoje

    Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa ushirikiano wenu wakuu kujua bei zake za viwanja Tabata ili nipate uzoefu. Shukrani
  12. Kituo cha polisi Chang'ombe temeke kimulikwe, huyu kijana mnayemfuga (Kadoda) analitia doa sana jeshi la polisi

    Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho wa siku wanaishia jera. Kwa kifupi huyu kijana alikuwa ni jambazi na alikaa jela kwa miaka...
  13. B

    Aisee kumbe hadi leo Tabata Chang'ombe barabara kimeo!

    Aisee leo bhana nimepata nafasi ya kupita Barabara ya Tabata Chang'ombe, nilichokutana nacho kimenishangaza sana. Nilipita njia hiyo kwa dharura kwa sababu daladala niliyopanda ikitokea Mwenge kuja Tabata Segerea ilikwepa foleni, tulipofika Barakuda, tukaingia boda la Chang'ombe. Huku...
  14. B

    KERO Barabara iliyojengwa Keko ni ya kupita gari moja tu, gari likiharibika itakuwaje?

    Wakuu habari zenu, Nimepita maeneo ya Keko, kuanzia chuo cha Diplomasia kwenda Chang'ombe Mataa, kunajengwa barabara, ya mwendokasi. Lakini barabara ya kawaida sijaielewa, kwenda ni gari moja, kurudi ni gari moja. Hivi ikitokea gari limeharibika njiani itakuwaje? Wanaohusika naomba mlitafakari...
  15. House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti

    Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti. Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba zimejipanga freshwi kabisa. Nyumba hiyo ina: 1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained. 2. Open...
  16. Long course ya umeme ya VETA Chang'ombe inachukua miaka mingapi?

    Jamani naomba kuuliza? Long course ya umeme ya veta chang'ombe inachukua miaka mingapi? Hapa nikimaanisha hadi level 2. Na mwaka huu wanaanza mwezi wa ngapi? Pia nahitaji kujua Ada yake sh ngapi?
  17. Taa za kuongoza magari Chang'ombe Polisi zifanyiwe marekebisho

    Wasimamizi wa barabara kama ni TARURA au TANROAD tunaomba mzifanyie setting upya taa za barabarani Changombe polisi kwani imekuwa kero kwa watu wanaotoka Serengeti kuelekea Temeke. Barabara inayotokea maduka mawili inahudumia magari mengi ambayo yanaelekea Temeke au Tandika laakini zinapofika...
  18. Kishindo: Yusuph Manji atikisa Mkutano wa Yanga Chang'ombe

    Baadhi ya Vigogo waliohudhuria hawa hapa , yumo Jakaya Kikwete
  19. Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

    Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia. Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…