Jeshi la Polisi limesema ajali iliyotokea Mbeya Septemba 6, 2024 ilisababishwa na uzembe wa Dereva, Hamduni Nassoro Salum (37) kushindwa kulimudu Gari lake kwenye eneo lenye mteremko na kona kali kutokana na Uchunguzi wa awali uliofanyika
Kulingana na ripoti ya polisi iliyotolewa Septemba 6...
Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam.
Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
Hii ajali imetokea tarehe 11-4-2024 Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa na trafick sehemu hatari isiyo ya ukaguzi kukiwa na utelezi na ukungu kwa ajili ya ukaguzi usio rasmi, hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo,Poleni...
Serikali imesema bado inaendelea kuchunguza taarifa za awali za ajali ya ndege ya Precison iliyotokea mkoani Kagera Novemba 6 mwaka 2022 huku ikitangaza kwamba itatangaza chanzo cha ajali hiyo Novemba 11 mwaka huu baada ya kukamilisha na kuchakata taarifa zilizokusanywa.
Akizungumza na wandishi...
Kuna jambo tumelisahau kuhusu ajali nyingi za mabasi ni kipi.
Tukisema ulevi, uzembe au barabara si kigezo sana ila la miruzi na kushangiliwa kuwapa sifa wanapoingia stendi au kutoka na zinopokuwa njiani.
Dereva wa basi upenda sifa kwa kushangiliwa na waliokuwa nje ya barabara au wakisikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.