chanzo cha migogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Damas Nbumbaro: Rais Samia ameagiza mtumishi yeyote wa umma ambaye ndiye chanzo cha migogoro mimi nihangaike naye

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa ujumbe mkali kwa watumishi wa umma wanaosababisha migogoro kwa kuwadhulumu wananchi, akisema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza hatua kali zichukuliwe dhidi yao. Akizungumza siku ya Jumanne, Machi 4, 2025, katika Uwanja wa TBA...
  2. The Watchman

    Waziri Ndejembi aagiza kusimamishwa kazi kwa afisa ardhi Handeni kwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika eneo hilo. Ametoa agizo hilo Februari 20, 2025, wakati wa ziara ya Waziri Ndejembi katika...
  3. Waufukweni

    Kilimanjaro: Wanawake wenye kipato kizuri chanzo cha Migogoro ya Ndoa, wanakosa heshima kwa wenza wao na kuwanyima tendo

    Wakuu Mmesikia kuwa Wanawake wenye kipato kizuri wamekuwa chanzo cha migogoro ya ndoa, kwani wanakosa heshima kwa wenza wao na hata kushindwa kushiriki tendo la ndoa. === Jukwaa la wanaharakati wa kupambana na ukatili wa kijinsia mkoani Kilimanjaro, limefichua siri kuwa migogoro mingi ya ndoa...
  4. MamaSamia2025

    Wazazi maskini ni chanzo cha migogoro mingi kwenye ndoa za watoto wao.

    Umaskini ni fedheha. Umaskini ni jambo la kupambana nalo kufa na kupona. Fanya ufanyavyo usiwe maskini. Umaskini huambatana na mambo mengi sana ya hovyo. Mtu mwenye njaa ana sura mbaya na roho mbaya. Sijui kwa enzi za mababu zetu ila maskini wa leo hii ni ngumu mno kuiona pepo. HAIWEZEKANI...
  5. realMamy

    Ndoa fasta chanzo cha migogoro mingi ya kifamilia

    Ndoa Fasta Ni ndoa ambazo Me na Ke wakutana bila kujuana vizuri na wakaamua kufunga ndoa. Sasa mara baada ya kufunga ndoa ndio huanza kufahamiana vizuri kumbe mume wangu ana tabia hizi au kumbe mke wangu ana tabia hizi. Wakishindwa kuvumiliana basi migogoro inaanza. Migogoro ya muda mrefu...
  6. Chakaza

    Kuna Picha Kuwa Mamlaka Inamuhofia Mwigulu Ndio Chanzo cha Migogoro Kuwa Endelevu

    Mwaka jana mgogoro kati ya serikali na wafanyabiashara ulikuwa mkubwa kiasi cha kumtoa Waziri mkuu ofisini na kuja kusuluhisha. Pamoja na waziri wa fedha Mwigulu kutupiwa lawama zote kwenye mkutano ule alitoa ahadi kadhaa za utatuzi mbele ya waziri mkuu. Ajabu, kama asemavyo CG wa TRA ni kuwa...
  7. Roving Journalist

    Katavi: Wananchi watakiwa kutokuwa chanzo cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji

    Mkaguzi wa Kata ya Kasansa Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Elibariki Kateman amewataka wakulima na wafugaji wa kata hiyo kutokuwa chanzo cha migogoro ya wakulima na wafugaji katani humo. Mkaguzi huyo ametoa kauli hiyo wakati akitoa elimu ya ushirikishwa Jamii...
  8. Nassor Elbahsany

    SoC03 Namna Baadhi ya Viongozi Wanavyogeuka kuwa Chanzo cha Migogoro Afrika

    Utangulizi Ilikuwa ni majira ya saa 12 za asubuhi, baada ya kutoka zangu msalani, niliamua kusikiliza taarifa ya habari kutoka shirika la Utangaazaji la Ujerumani (DW Swahili) kama ilivyokuwa kawaida yangu. Sababu ya kupenda kwangu kusikiliza habari ni kutokana na shauku yangu ya kutaka...
  9. CM 1774858

    DC Shaka: Nitahakikisha Watendaji wote wa Serikali ambao ni wanufaika au chanzo cha migogoro baina ya wakulima na wafugaji wanachukuliwa hatua Kali

    Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka, Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa. Namimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na...
Back
Top Bottom