Hata ingekuwa ni wewe una shida umekwama labda ada au kodi kama unadhaminika lazima ungekopa ikizingatiwa USA NA CHINA pia wanakopa. Shida inaanza pale unategemea upate activities za serikali ulipwe posho upunguze madeni kumbe ni uongo hesabu zinagoma aidha unaitumia au inaibuka dharura nyingine...