Watu wengi wakifanikiwa uanza kuwa motivational speaker,na wanatengeneza story ili wauze wapate pesa zaidi kwa wasio na pesa.
Unamponda kijana hana nyuma wala mbele kama vile andazi, kitumbua au chapati.
Unamwambia afanue uwinga au achinga mtaji ni mdogo tu lakini aumpi abc za wapi aende...