Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Tatizo la ushoga halitokani na masuala ya kibayolojia yaani kama wanaotaka kuhalalisha ushoga wasemavyo kuwa ushoga ni ishu ya hormones imbalance. Ni uongo wa mchana.
Ushoga ni vitendo vinavyotokana na Ishu ya kisaikolojia yaani Tabia na akili ya mtu...