Nayatafakari sana maneno yale kwenye Bible takatifu kwamba hapo mwanzo dunia ilikuwa kiza totoro na uso wake ukifunikwa na maji.
Kutoka hapo ndio uumbaji ukaanza, kwa kutenga kiza na nuru...kwahiyo ikawa usiku(kiza)siku ya Kwanza.
Ukiacha kiza kinachofuata ni maji lakini leo hatujadili maji...