chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna uhaba wa mafundi ujenzi tangu Desemba 2024. Chanzo ni nini?

    Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini? At the same time kuna wimbi kubwa la vijana naliona likishinda kucheza kamari kwenye mabanda mbali...
  2. M

    Kitendo cha Wananchi kugoma kuhama katika chanzo cha maji Bonde la Mto Ruhila na kuwafukuza Mgambo kwa Mapanga si dalili nzuri

    Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya kulipwa fidia. Kuna sababu mbalimbali walizozitoa kwanini wanaendelea kutumia maeneo hayo kwa matumizi...
  3. Viumbe vyote chanzo chake ni nishati

    Viumbe vyote chanzo chake ni nishati/nguvu/energy/roho iliyounda chembechembe, chembe zikaunda ulimwengu na ndani ya ulimwengu zikaunda viumbe, kiumbe imetokana na atom yenye nishati/nguvu/energy/roho ambayo kwenye dini huiita mungu, nguvu hiyo iko kila mahali na ndani ya kila kitu yaani atom...
  4. G

    Profesa Jean Messengue wa saikolojia , adai kushuka kwa maadili ya wanawake Afrika , chanzo cha vijana kutokuoa, Asema kufika 2030 ndoa zitakua hazipo

    Kwa mtazamo wake Profesa huyo wa ivory coast akijibu maswali mbalimbali kwenye redio moja amenena hayo, Adai wanawake Kutokua na adabu na kuiga umagharibi ni chanzo cha kuharibu taasisi ya ndoa Afrika. atabiri kufika 2030 ndoa zitakua hazipo na kama zitakuepo ni kwa uchache Sana. Atoa wito kwa...
  5. Q

    Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

    Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia. Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
  6. G

    Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  7. Joan ni nani kwa Martha Mwaipaja? Nini chanzo cha utata? Ni kweli au kiki?

    Wambea wa Jf Nimeisikilza hii habar mara 10 na sjjapata jibu. Nilivoelewa n kama Joan apendi martha kuwa au kuwasiliana na mama ake. Mlioelewa Joan n rafiki wa martha Joan n mtoto wa martha? Joan n mganga wa martha? joan ni mwenza wa martha? Joan n meneja wa martha? Kifupi huyu joan anazuia nn...
  8. Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  9. Ukosefu wa "Siasa Safi" Afrika ndo chanzo cha Umaskini

    Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa. NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki.
  10. Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
  11. DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  12. H

    Chanzo cha umaskini wa Waafrika ni viongozi wa kisiasa na wa kidini

    Habarini, Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo kurejesha DEMOCRACY. Leo hii taasisi za kidini na wanasiasa ndiyo wanamiliki ARDHI na UTU kwa kumiliki...
  13. C

    Kuku wa kisasa hawatagi, sasa chanzo chao ni nini?

    Jamani kwa wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, nimezoea kuwaona kuku wa kisasa na huwa hawatagi, swali langu vifaranga vyake vinapatikana vipi?
  14. Chanzo cha kazi za ubunifu cha wa Israel ni hiki hapa

    Hawa watu wamekuwa wabunifu tangu zamani na Walipewa hiyo roho na Mungu MWENYEWE
  15. M

    Jifunze kutafuta sababu fiche kwenye kila sababu inayo onekana kama chanzo

    Aliyekuacha kwenye mahusiano kuna uwezekano mkubwa sababu siyo hiyo aliyokwambia bali ni ile aliyokuficha sema kapitia hiyo kama njia ya kufanikisha njama yake ya muda mrefu. Ulisema tatizo huna kazi baada ya kupata ukahamia kwenye tatizo mshahara mdogo ila ukweli mchungu ni kuwa kuna...
  16. G

    Sio vizuri kwenda guest house na mtoto mdogo! Kiroho ni mbaya sana.

    Wakuu habari. Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba. Usije shangaa mtoto wako mbona nikahaba au shoga kumbe chanzo ni wewe kwenda naye kwenye nyumba za kulala wageni. Haijarishi unaenda...
  17. M

    Aliyeridhika chanzo kimoja na asiye na chanzo wote ni maskini tena mwenye chanzo ni maskini zaidi anayejidanganya kuwa ni tajiri

    Umaskini una tafasiri pana pia una nyanja nyingi kujieleza ila umaskini wa kiuchumi huelezwa zaidi kupitia vyanzo vyako vya pesa na uhuru upatao wa kiuchumi. Moja ya kitu ambacho wengi hujidanganya ni kujiona tajiri kwa kuwa na chanzo kimoja huku ukimcheka asiye na chanzo kabisa kuwa ni maskini...
  18. Video: Robert F Kennedy Jr afichua chanzo cha vita vya Ukraine

    https://youtu.be/LD6kvDHbIYY?si=7sv2Yv9AeEDde3Er Uhusiano kati ya wauzaji wa silaha na vita vinavyoendelea ni mada ya mjadala mkubwa na wasiwasi. Biashara ya silaha, halali na haramu, inachukua jukumu ngumu katika kuzidisha na kusaidia migogoro kote ulimwenguni. Hapa kuna baadhi ya mambo...
  19. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  20. Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi. Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…