Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha...
Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei, ametoa ya moyoni kuhusu jinsi benki zinavyojiendesha kwa sasa. Dkt. Kimei ni mtaalamu katika sekta ya fedha na ameshikilia nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB kwa miaka 25.
Dkt. Kimei amesema kuwa kwa sasa benki zinapata faida kubwa sana, jambo...
Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Mchakato wa kulenga vikundi haufanyi kazi duniani kote akisisitiza, "Tutumie mbinu mpya kutoa mikopo hata kwa mtu mmoja mmoja. Kutoa kwa Vikundi inaleta ugumu katika uwajibikaji".
Akichangia Mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Rais -...
Kuna Watu wameteuliwa ila hawajui tu kuwa wapo katika 'Sacrifice List' ya 'Mama' kutokana na Rekodi zao mbovu na pia kwa Tamaa zao za Kuutaka sana Urais tena wa 2025.
Hakika 'Mama' kwa Kusaidiwa na Taasisi fulani 'Muhimu' nchini anaonyesha kuwa japo Yeye ni Mwanamke ila katika Umafia wa...
Na Mwandishi Wetu,
Moshi.
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kufuatilia kwa karibu ahadi zake binafsi, ahadi za hayati Rais Magufuli pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kwa karibu ili kuhakikisha wanakidhi matarajio na matumaini makubwa ya...
Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Bunge lazima liwajibike katika kusimamia Serikali ili ije na Bajeti ambayo inatekelezeka kwa asilimia 100 huku ahadi zinazotolewa nazo zikitekelezwa.
Ameeleza, "Mimi nilikuwa najua Bajeti ni Sheria, lakini kama tupo hapa miezi mitatu halafu tunaambiwa...
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amewasikisha maombi matatu serikalini alipokuwa akichangia bajeti ya wizara ya mali asili na utalii bungeni ambazo ni:
1. Ameomba serikali kufikiria upya ombi la wananchi wa jimbo la Vunjo na majimbo mengine ya mkoa wa Kilimanjaro...
Leo Bungeni, Mbunge wa Vunjo ameuliza swali lililoanzia kwenye misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini ambapo Waziri Mwigulu alisema Taasisi za dini zinazofanya shughuli za kiuchumi kwa lengo la kujipatia faida zinatakiwa kusajiliwa na TRA kama wafanyabiashara wengine na kulipa kodi ya mapato...
Na Mwandishi Wetu
Vunjo.
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru klabu ya Rotary ya Mwika kwa kujenga kivuko cha Koongo-Saghai kinachounganisha kata za Mwika Kusini na Mwika Kaskazini.
Ujenzi wa kivuko hicho umegharimu shilingi milioni 10.5 fedha zilizotolewa na...
Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu...
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
ccm
charleskimei
crdb
hekima
historia
jamhuri
lukuvi
maamuzi
magufuli
makamu
mkuu
moto
muungano
mwakyembe
mwanamke
ndugai
rais
raisi
sahihi
serikali
sifa
speaker
taifa
uchumi
waziri
waziri mkuu
Mambo vp JamiiForums.
Ninapoandika hoja hii, ninaomba ifahamike kuwa i have nothing personal with mzee Kimei na ninatambua kuwa yeye ni moja katika ya hazina kubwa ambazo taifa hili linazo katika masuala mazima ya uchumi na banking.
Watu walikuwa wanapenda sana kumshambulia kaka yangu Pascal...
Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.
Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa...
TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo.
Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema
Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya kumuombea kura, Mrema amewaambia watu wa Himo na Vunjo kuwa kura zote kwa Rais Dk. John Pombe...
NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia NCCR MAGEUZI. Uongozi nikuachiana madaraka na kulindiana heshima
#DON NALIMISON
Simu Na. 0682 94 29 01.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.