Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo October 12,2024 alfajiri akiwa Nchi India alipokuwa akipatiwa matibabu.
August 02, 2024 Mbuge aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 na aliagwa kwa kukagua gwaride rasmi la kijeshi katika Viwanja vya Mgulani...