Meja Jenerali Charles Mbuge amestaafu na kuagwa jeshini baada ya kulitumikia jeshi kwa miaka 38.
Enzi ya utumishi wake jeshini, aliwahi kuwa Mkuu wa JKT, Mkuu wa Mkoa na baadae kushika majukumu mbalimbali ya kijeshi.
Anakumbukwa jinsi alivyokuwa kipenzi cha Rais wa awamu ya tano, hayati John...