"Mbowe na Lissu watakuwa salama…wasiogope" Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa, Charles Odero akizungumza dakika chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, akiwatoa wasiwasi wagombea wenza kuwa watakuwa salama baada ya yeye...