Mashindano makali yenye vita kubwa kati ya USA na China ya kizidi kupamba moto kwenye teknolojia.
Wiki zilizopita china imetambulisha mfumo wao AI(akili bandia) kwa madai yao kuwa inaweza kutumia vifaa vya bei rahisi kuendesha mfumo wake, lakini cha kuchekesha nilichogundua ni kama china...