chato airport

Chato District is one of the five districts in Geita Region of northwestern Tanzania. Its administrative centre is the town of Chato. The main ethnic group in the district are the Sukuma. John Magufuli who was elected as President of Tanzania in the year 2015, was born in Chato in the year 1959.

View More On Wikipedia.org
  1. Lusungo

    Ni kweli Chato Airport watu wanaanikia Mpunga?

    Nikiri hupenda sana kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye operation 255 za CHADEMA zinazoendeleq mikoani... Si mara moja au mbili Lissu amesikika akisema Chato Airport haina ndege wakazi wake wanaanikia mpunga... Jana akiwa Katavi kasema stand ya mabasi chato watu wanaanikia mpunga... Je hizi...
  2. Stuxnet

    Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  3. Mmawia

    CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

    Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu. Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema. -- Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema gharama za ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita zilizidi bajeti iliyotengwa kwa sababu ulifanyika bila upembuzi yakinifu...
  4. chiembe

    Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

    Serikali ifanye uamuzi mgumu, hii ni biashara ya hasara, nadhani ATCL wajikumbushe sababu zilizofanya ATC ikafilisika, abiria sita ni sawa na milioni mbili laki nne kwa nauli ya laki nne, Dar-Chato direct flight, maana yake kama ni dreamliner siti nyingi hazikaliwi,inaenda tupu kwa asilimia 98...
  5. Christopher Wallace

    Kutoka Chato airport

    Hizi ndizo shughuli tunazofanya hapa Chato airport, legacy kwa kwenda mbele!
  6. Kinuju

    Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

    Wote waliotangaza kuwa Chato airport imegeuzwa ya kuanikia mahindi na dagaa na walelewa Ubelgiji wote waje washuhudie ratiba ya ATCL hapa chini. ATCL inatua Chato mara tatu kwa wiki na ikiwa imejaza abiria.
  7. chiembe

    Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

    Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga. Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini. Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye...
  8. The Palm Tree

    Chato Airport ni kaa la moto lisilozimika kwa CCM na Magufuli. Sasa anaahidi kujenga Airport kama ya Chato kila anakopita...!

    Sasa hali si hali kambi ya mgombea Urais - CCM Mzee Pombe Magufuli. Chato Airport ya kijijini na shambani kwake inamtesa yeye, inawatesa CCM wote maana haina utetezi wenye macho na akili watu wakaelewa. Sasa kama kujifariji na kujidanganya, kila mahali anapopita anamwaga ahadi za kujenga Chato...
  9. Zanzibar-ASP

    Uchaguzi 2020 Ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport ni kashfa inayomtesa Magufuli?

    Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020. Karibu kila mahali Rais...
  10. S

    Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

    Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake. Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender. Nasikia hii kampuni ni ya...
Back
Top Bottom