chato

El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.

View More On Wikipedia.org
  1. Chuo Kikuu tawi la UDSM kujengwa Chato

    Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe. Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato? Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi 👇 --- WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa...
  2. Mabilioni yaliyofichwa na Hayati Magufuli kwake Chato, serikali ilikaa kimya!

    Tunakumbusha sio kwa ubaya. Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko...
  3. TANAPA yafufua ujenzi hoteli ya kitalii Chato

    Alhamisi, Aprili 25, 2024 Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo zikiwemo za Burigi-Chato na ile ya Kisiwa cha Rubondo. Chato. Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya nyota...
  4. M

    DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

    Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara. Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
  5. Baraza la Madiwani ladai Kifo cha Hayati Magufuli kimekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Chato

    BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli. Kauli hiyo imetolewa na...
  6. Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti. Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi. Busara ya kawaida tu...
  7. Wajumbe wa kamati ya LAAC wafika Chato kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stanslaus Mabula wamefika Chato nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe na kufanya maombi mafupi katika kaburi lake.
  8. UVCCM Wilaya ya Chato watakiwa kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuchapa kazi

    CDE. REUBEN SAGAYIKA AWATAKA UVCCM CHATO KUMUENZI MAGUFULI KWA KUCHAPA KAZI Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chato wametakiwa kumuenzi Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John Magufuli kwa kuchapa kazi na kuiishi slogan yake ya Hapa Kazi Tu. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa...
  9. Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    "Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
  10. Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

    Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
  11. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Wilayani Chato

    KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI WILAYANI CHATO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Stanslaus Nyongo leo tarehe 16 Machi, 2024 wamezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
  12. M

    Chato: Wananchi wafurahia DC Katwale kuhamishwa. Wadai alijikita kufanya kampeni za ubunge kuliko kutatua kero zao

    Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari. Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani. Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa. Yeye kikubwa...
  13. M

    DOKEZO Wakazi wa Muganza, Chato tunaomba TAKUKURU imchunguze Hakimu Mfawadhi Makama ya Wilaya Chato

    Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa. Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi haramu kisiwa cha Rubondo na kisha kuombwa rushwa. Malalamiko yapo ofisi za PCCB wilaya ya Chato lakini...
  14. B

    Ujenzi wa barabara Bugene - Burigi Chato urefu kilometa 60

    Mlima Nyaishozi changamoto yake kubwa kuwa historia Ujenzi Barabara ya kiwango cha lami ya kutoka Bugene hadi Bugiri Chato mkoa wa Kagera urefu wa kilometa 60 kuifikia CHATO NATIONAL PARK unaendelea https://m.youtube.com/watch?v=GkkKS4c16Rg SERIKALI imetoa Sh bilioni 92.84 kwa ajili ya...
  15. Nataka niende Chato nikaiombe msamaha familia ya Hayati Magufuli

    Wakuu mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao tulijitahidi kuipata elimu huku tukiamini kupata ajira aidha sekta binafsi au serikalini, lakini mambo yakawa tofauti ni miaka saba sasa imepita na wengine tumeshaanza kusahau hata tulichokisomea kwa sababu tuliamua kufanya mambo mengine nje...
  16. Dk. Kalemani: Serikali imetoa mabilioni kujenga maktaba kubwa kabisa ya hadhi ya Kanda ya Afrika Mashariki Chato

    Kama bado hujasema basi utasema, wanachato wanajengewa maktaba kubwa kabisa kama Ile ya makao makuu Dar es salaam. Serikali imeshaanza kumwaga mabilioni. Hayo yamesemwa na mbunge wa Chato dk Kalemani wakati akitoa neno katika mkutano wa hadhara wa Makonda. Kalemani ameeleza kwamba, baada Rais...
  17. M

    Ombi kwa Paul Makonda ukiwa Chato muamrishe mkuu wa Wilaya apige marufuku kamari za kichina. Ziwawafisi na kuwamalizia walimu pesa

    Walimu wanaliwa pesa isee na hizi mashine za kichina hazifai Makonda okoa walimu wa Chato.
  18. A

    Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa

    Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima. --- Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Mikoa...
  19. R

    Mnaoiua Chato kwa kuelekeza hata majengo ya umma yasitumike mnamkomoa JPM au mnawakomoa Watanzania?

    Ofisi Nyingi za serikali zilizokamilika hazina watumishi badala yake watumishi wamerundikana kwenye ofisi zao za zamani wakisubiri hadi waelekezwe kuhamia. Taasisi za fedha zimehamisha watendaji huku hospitali ikitelekezwa kwa kukosa wataalam . Uwanja wa ndege unaoweza kuhudumia abiria wa...
  20. Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

    Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato. Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa. Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…