Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashimu Rungwe anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Mbeya ambapo atafanya mkutano wa hadhara kesho wa kuwashukuru wananchi wa Mtaa wa Soko.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Kasumba ya kushughulikiana na kukomoana hususan ndani ya vyama vya upinzani nchini itaendelea hadi kwenye sanduku la kura za jumla uchaguzi mkuu wa October 2025.
Kuna wagombea watakomolewa na wafuasi wa vyama vyao, hawatapigiwa kura kwasasababu tu ya midomo yao, makelele yao, hila zao...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika...
act
ccm
chadema
chaumma
cuf
fedha
imara
kiuchumi
kuelekea 2025
kuunga mkono
mkono
mkuu
taifa
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchumi
udiwani
ukata wa fedha
uongozi
upinzani
upinzani kuungana
urais
vyama
vyama vya upinzani
wagombea
zaidi ya
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina fedha za kufanya mikutano hiyo.
Soma Pia: Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amemtaka mtangazaji kuchukua fomu na kugombea katika uchaguzi ujao wa chama hicho kama anaona kwamba mwenyekiti wa sasa amekaa muda mrefu madarakani
Soma pia: CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao
"Chama tumekiasisi...
2025 ni Mwaka wa ukombozi ,Tundu lissu ndiye tumaini jema .
Iwe mvua , iwe jua , iwe CHADEMA, iwe CHAUMMA au popote pale alipo Tupo
Viva Tundu Lissu , Mungu ibariki Tanzania.
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Mkoa wa Morogoro Ismail Rashidi Ismail amesema licha ya chama hicho kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini bado hawajakata tamaa ya ushiriki na kushinda katika uchaguzi mkuu ambao unatarajia kufanyika mwaka huu...
Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche” ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake...
Wakuu,
CCM C imejirusha huko baada ya ushindi wao wa kiti 1.
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Mbeya na Wananchi wa mtaa wa Soko kata ya Ruanda jijini Mbeya wamefanya sherehe ya kumpongeza mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Brian Mwakalukwa akiwa ni...
Wakuu,
CHADEMA, ACT hola? Wagombea walienguliwa wote au nini kimetokea?
CHAUMA upinzani anashinda anamshukuru Rais Samia kwa kushinda? CCM safari hii mmetisher!:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
=====
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimefanikiwa kupata ushindi katika nafasi ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, kwa mara nyingine ameibuka kidedea baada ya kutetea kiti chake kwa ushindi wa kura 118 kati ya 120 katika uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Akitangaza matokeo hayo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Mohamed Masoud...