Na: Mwalimu Makoba
Tazama nikamuita mwanangu mpendwa, naye nikamtuma aende mjini akalete vitumbua ili tupate kushtua matumbo. Nilimwelekeza aende kwa Mama Abdul, mama muungwana, mtenda haki na kamwe hakupunja katika kipimo chake.
Nami nikapanda juu ya mlima ili niweze kujionea yanayoendelea...
Baada ya kuona video hii ya wasanii kukusanywa kama watoto wa shule ya msingi kwenye event maalum ya kugawa mitungi kwa wakina mama, nimepata maswali mengi
Hivi kwanini CCM siku hizi hawawezi kufanya mambo yao bila kuhusisha wasanii?
Yaani CCM siku hizi hata wakienda kuzindua ukuta wa nyumba...
Kinachofanyika kwa sasa ni propaganda inayolenga kuhusisha makundi yote katika jamii ionekane yanamkubali
Samia ili uchaguzi wa Octoba hata yakitokea ya 2020 waseme mgombea alikuwa anakubalika.
Ni dhahiri kuwa Katika sehemu ambayo huwa haipendwi CCM ni vyuo vikuu, sasa hii propaganda...
Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais wa nguvu, Rais wa viwango vya nyota tano, Rais mzalendo, msema kweli, wa kujivunia, mwenye misimamo, kujiamini, na ufahamu wa masuala mbalimbali. Watanzania tuna Rais anayewajua vyema na kwa undani wasaidizi wake na kutambua nani anafaa wapi...
Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nimefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao ni baadhi tu nimewataja na nimewataja siyo kwamba na kinyongo nao Ila hiyo Hali halisi navyoona.
Kijana kama Lucas mwashamba anapambana...
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kugusa maisha ya watu, ni kuleta tabasamu, furaha, na matumaini kwenye maisha ya watu. Ni kufanikisha na kuwezesha kutimizwa kwa ndoto za watu, ni kukidhi matarajio na kukata kiu ya watu, na kuwapa watu vicheko vya furaha na kuacha alama katika mioyo yao...
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu watu wengi kujiita chawa wa mama, ambapo baadae Rais aliongea maneno ambaye nadhani yaliwarudisha nyuma kidogo.
Leo, nipo Dodoma kama kawaida, kwenye one and two, tupo na waziri Mkuu hapa, kwa hiyo wamekuja wamama wengi wamevaa t-shirt zenye picha ya...
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......"
Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka.
Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe. Wageni mbalimbali toka pande zote za dunia walikwenda Njombe ili kuona tukio la kupatwa kwa jua na...
Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali...
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.
Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.
Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.
Pia soma
- Chawa wa Mama wacharuka...
Hivi hili jambo ni la kweli au ni utani tu wa kwenye mtandao?
Natamani lisiwe la kweli. Natamani liwe ni vijimambo tu vya kwenye mtandao.
Hayo ndo matamanio yangu.
Lakini kwa niwajuavyo Watanzania, jambo kama hili lawezekana kabisa!
Tuna idadi kubwa sana ya watu walio wajinga [rejea maana...
Habari Wanajf nawasalimu kwa jina la jamhuri wa muungano wa Tanzania?.Bila kupoteza muda nimekuja kwenu ndugu zangu najua humu jf nitapata ushaurii utakaonisaidia maake naamini jf ni kisima Cha maarifa na pia inawezekana nikapata msaada...
Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
Maandamano yanayounga juhudi za mama yameenda vizuri kabisa, hakuna virungu, matamko ya kukataza maandamano kabla, wala askari kuwa standby kukamata watu!
Inakuaje kinyume watu wakitaka kuandamana ikiwa hawajaridhika na utendaji wa serikali? Kwanini waandamanaji wanachukuliwa kama wahalifu na...
Inawezekana vipi mtu na akili zako timamu uamue kujiita chawa?
Mbona kulikuwa na majina mengi sana ya heshima kwenye jamii?
Hiyo yote ni kutafuta shortcut za kutoboa kimaisha?
Unakubali kuondoa utu wako kiasi unajiita chawa?
Usishangae kwenye hilo kundi kuna wasomi kabisa wanajiita chawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.