Wakuu
Hii ni aibu kubwa kwa vijana wa taifa hili. Mpaka rais anafurahia uchawa na kuona ni kitu cha kawaida tu!
===
Huu uchawa sasa umepitiliza, tazama mchekeshaji maarufu mzee Shayo akipiga magoti kupokea bahasha ya Maokoto kutoka kwa Rais Samia baada ya kumpigia debe urais 2025 kwenye tukio...
Wakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko.
Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago ambaye pia ni Msomi wa chuo kikuu akiambatana na wanafunzi wa vyuo mbalimbali amesema...
Whether you are agree not you are agree Rais Samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais wa nguvu, Rais wa viwango vya nyota tano, Rais mzalendo, msema kweli, wa kujivunia, mwenye misimamo, kujiamini, na ufahamu wa masuala mbalimbali. Watanzania tuna Rais anayewajua vyema na kwa undani wasaidizi wake na kutambua nani anafaa wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.