chawa wa samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CCM msaidieni chawa wa Samia Kigogo 2014 aelewe Sheria za Nchi na aache kupost asivyovielewa huko X

    Baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndug John Heche kueleza jana kuwa CHADEMA wanaenda kuweka ushahidi na kuuelezea Umma namna taifa hili linavyoibiwa kupitia miradi mbalimbali ikiwemo tenda za ununuzi za mradi wa SGR, chawa wa Samia na CCM amejitokeza kumtisha Heche eti atakamatwa na...
  2. Pre GE2025 Chawa na Samia Challenge, kuna kitu chawa wanaweza zaidi ya kujipendekeza?

    Wakuu, Kwenye hii challenge walitakiwa kusema Rais Samia kazailiwa lini. Pale ambako hata yule wanayemuita mjumbe maalum wa Ikulu kachemka, ila wanasema mama kafanya, kile, na hiki. Ni kwasababu wapo kama kaseti, wananywesha takataka wanazimeza kama zilivyo na kazi yao ni kutema tu. Ukiuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…