Haji Manara alipokuwa Simba alikuwa bega Kwa bega na Mo, hata walipotokea wazalendo wengine kujaribu kumuuliza Mo kuhusu bilioni 20 yeye alikuwa mbele sana kuwapinga na kuungana na wengine kuwaita wote wanaompinga Mo 'njaa "..na maadui wa Simba.
Hadi yeye Manara alipogombana na Mo na kuhamia...
Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nimefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao ni baadhi tu nimewataja na nimewataja siyo kwamba na kinyongo nao Ila hiyo Hali halisi navyoona.
Kijana kama Lucas mwashamba anapambana...
Kupitia ukurasa wake wa X Mwijaku ameweka picha ikionesha Polisi wa Kenya akiwa amenyooshea mtutu raia, ambapo ameandika;
"Huu ndio ujinga nisio utaka, Hakuna alie shindana na serikali akafanikiwa. So jifunze kuheshimu mamlaka . Ndugi zangu wakenya fateni njia sahihi za kuishauri serikali yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.