Na: Mwalimu Makoba
Tazama nikamuita mwanangu mpendwa, naye nikamtuma aende mjini akalete vitumbua ili tupate kushtua matumbo. Nilimwelekeza aende kwa Mama Abdul, mama muungwana, mtenda haki na kamwe hakupunja katika kipimo chake.
Nami nikapanda juu ya mlima ili niweze kujionea yanayoendelea...