cheap

  1. Maisha ni kuchagua: Ili kuagiza BMW 3 series cheap kabisa kutoka JP unatakiwa uwe na Mil 14, ila IST lazima uwe na angalau Mil 17!

    Niliona juzi kati kunaa mdau anaulizia gari ambalo akiendesha watu wajue amejipata. Sasa leo nikawa nafanya comparison ya kutaka kuagiza magari mawili, yote ya mwaka mmoja 2006. BMW 3 series, 2006 generation ya E90, model 320i, ikiwa mpya 2006 iliuzwa $40,000 na leo naweza ipata kwa $930...
  2. M

    SIMBA WALISAJILI CHEAP LABOUR, NI KANUNI YA WAHINDI WENGI ILI KUBANA MATUMIZI NA WAKATI HUO HUO WAKITAKA MAFANIKIO MAKUBWA NI NGUMU KUFANIKIWA!

    Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu! Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa! Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na...
  3. L

    Luaga Mpina, mbunge wa Kisesa sifa za kijinga na kutafuta cheap popularity zimekuponza

    Wewe ni mbunge mzoefu sana bungeni, unajua utaratibu wa bunge wala sihitaji kuiufundisha, umekuwa Waziri kwa vipindi tofauti, watu wa Kilwa Kivinje wana hasira sana na ww ulipoenda kukamata nyavu zao na kuzichoma, enzi hizo ukiwa Waziri wa Uvuvi na Mifugo. Umepewa nondo feki na wafanyabiashara...
  4. Kama una ndoto ya Kumiliki McLaren, ndoto yako inaweza kutimia. Wametengeneza McLaren Senna Cheap

    McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana. Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye scale ya 1:8 ukicompare na original car. Hii itauzwa $21,000/= tu na ipo sokoni tayari tokea jana...
  5. Ulinzi wa TV pamoja na Friji

    Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard? "Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara! Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes za umeme zisizotarajiwa zinaweza kuathiri vifaa vyako vya umeme kama TV na jokofu? Ndiyo maana...
  6. A

    Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

    Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu. Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD, Dep: 11/05 Ret: 14/05
  7. Kwanin APU za AMZ ryzen ni cheap kuliko intel?

    Ni kwanin kompyuta zenye apu za processor ya intel iwe na gharama zaid ya processor za amd ryzen, wakat specs zngne kama processor speed, ram,rom na generation zko sawa
  8. Web Hosting Cheap 12$/ 1 Year

    Je Umekuwa ukitafuta web Hosting ya Gharama nafuu na Umekosa, hapa ndo penyew pata web Hosting Bora na Nzur kwa Kazi zako sasa, niko na Offer hapa Plan 1 2 - 4 GB RAM and 2 CPU CORE Linux Ultimate ( $10.80 ) - 1 Year Linux Ultimate ( $25.90 ) - 2 Year Linux Ultimate ( $40.80 ) - 3 Year Linux...
  9. Nissan fuga inauzwa very cheap. Low mileage

    NISSAN FUGA 🚘 ✔️PRICE 7 MIL ✔️YEAR 2004 ✔️CC 2490 ✔️COLOUR PEARLY WHITE ✔️LOW MILAGE ✔️FULL AC ✔️FULL DOCUMENT ✔️GARI MKWAJU SANA HAINA TATIZO LOLOTE ✔️LOCATION DSM, BUNJU CALL +255 734 766 126
  10. Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  11. Cheap & Affordable Web Hosting Services

    Meet the offers you can’t refuse. Whether it’s for personal or business use, you need a web hosting service like Computer Springs to get your ideas online. No matter which plans you choose, you can count on us for reliability, security, and a stress-free experience...
  12. Mapara A Jazz yawezekana wakawa cheap zaidi kulinganisha na wasanii wengine maarufu kutoka South Africa?

    Wakali wa hit Amapiano ya John vuli gate (Mapara A Jazz) kwa mtazamo wa kiutafiti yawezekana wakawa ndio kundi cheap na rahisi kupatikana compared na makundi yenye mfanano na wao kutoka bondeni kwa Madiba. Thamani ya vitu au watu upimwa kwa Sifa mbalimbali ila kubwa ni upekee na upatikanaji...
  13. Computer4Sale Laptop Zimewasili na Ofa ya Vitabu, Best and Cheap

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina...
  14. M

    Cheap food that can carry you to your long 4/5 runs

    Being safe gives faith, and so on, to people with 4/5 drizzling, who can invite everyone to a party that will last a long time and the joy will stay forever. When the sun gets too hot, it is important to drink a lot of water to get the cells fighting a winning battle. Also the heat from the...
  15. M

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi punguza sana Cheap Publicity ambayo naona inaanza kukuzoea sasa

    Kuna Mtu wako Mmoja wa karibu mno hasa kutoka Wizara uliyokuwa ukiiongoza huku Tanzania Bara kwa muda mrefu kanidokeza ya kwamba Role Models wako wakubwa Kiuongozi na ambao unawakubali sana ni aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Hussein Obama na Rais Mstaafu wa Tanzania kwa Awamu ya Nne Mzee Dk...
  16. M

    Wapi naweza kupata 'hearing aid device' kwa bei rahisi?

    Za muda huu wakuu Nilishapitia threads mbalimbali humu Jf hususani katika ishu za watu walikuwa wanasumbuliwa na tatizo la kutosikia (hearing loss) but nami ni muhanga wa hilo nimepambana sana kutumia madawa kama ushauri wa daktari nilitumia kama miezi nane dawa aina za neurosupport katika...
  17. Lenovo laptop for sale (gaming laptop)

    Model: LENOVO IDEA PAD Z585 Processor: AMD RADEON A10-4600M (pic attached) Harddisk: 500Gb Ram: 4Gb Screen size: 15.6inch Dvd slot: Available Battery: 5hrs Display 15'' Runs on Windows 7 Professional ACTIVATED PRICE : Tsh 550,000 Negotiable Call or Text 0713 985936
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…