Wafula Wanyonyi Chebukati is the chairman of the IEBC, Kenya's elections regulatory agency. He was appointed to the position on a six-year tenure in January 2017 by the President of Kenya Uhuru Kenyatta following his nomination in December 2016. He succeeded Ahmed Issack Hassan.
Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU
==
Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi.
Bw...
Rais wa Kenya, William Ruto amesema mazingira hayo yalikuwa yanamhusu Mwenyekiti huyo wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati wakati wa uchaguzi wa Agosti 2022.
Amesema "Tunajua mpango huo ulikuwepo ili kuimaliza nguvu tume, ulikuwa wakati mgumu, baridi na upweke, vitisho...
Baada ya Rais Mteule William Ruto kuzungumza na wanahabari muda mchache uliopita, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) anazungumza na wanahabari muda huu
Fuatilia hapa sasa
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imesema hukumu ya Mahakama ya Juu ni ushahidi kwamba mchakato wa...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa walijaribu kumshinikiza kutomtangaza William Ruto kuwa Rais Mteule.
Mwanasheria Mkuu pia...
Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato pekee unaoweza kufuatwa.
-
Ibara ya 251(2) ya Katiba inatamka kwamba mtu anayetaka kumwondoa Mwenyekiti...
Ilikuwa Chebukati kwa watuhumiwa, sasa watuhumiwa nao wadai kumbe Chebukati alikuwa na biashara kwao na ushahidi upo.
Tuju: Chebukati, two commissioners were bidding before the elections
Hadi mwisho wa shauri hili, enyi walamba asali wa kwetu tambueni kuwa ujanja ujanja wenu umefikia mwisho...
Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta...
Makamu mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Juliana Cherera, amezidi kumuanika Mwenyekiti, Wafula Chebukati, akimshutumu kwa "kukosekana kwa uwazi" katika kushughulikia uchaguzi wa Agosti 9.
Katika hati yake ya kiapo kufuatia Pingamizi la uchaguzi wa Urais lililowasilishwa na...
Mzozo kati ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) unazidi kuongezeka baada ya pande hizo mbili kuteua Mawakili tofauti kuwawakilisha kwenye maombi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi wa Rais.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa IEBC Hussein Marjan aliifahamisha Mahakama Kuu wameteua...
Mvurugano ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeendelea baada ya viongozi wa juu wa tume hiyo Mwenyekiti Wafula Chebukati na Makamu wake, Juliana Cherera kupishana kauli wakiwa kwenye kikao cha pamoja.
Viongozi hao wakiwa na wajumbe wenzao wa Tume pamoja na wawakilishi wa vyama...
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Wafula Chebukati, amesema aliwazuia kuingia eneo la Bomas Makamishna wanne waliokana kutambua matokeo ya Urais kwa kulazimisha uchaguzi urudiwe.
Chebukati ameshikilia msimamo wake kuwa Makamishna hao walipata matokeo yote na walihusika katika shughuli zote...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati amedai Jumatatu ya Agosti 15, 2022 alihangaishwa akiwa pamoja na makamishna na wafanyakazi wa tume hiyo ya uchaguzi.
Chebukati amewataja makamishna wawili, Bolu Moya na Profesa Abdi Guliye pamoja na afisa mkuu wa IEBC Marjan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.