chebukati

Wafula Wanyonyi Chebukati is the chairman of the IEBC, Kenya's elections regulatory agency. He was appointed to the position on a six-year tenure in January 2017 by the President of Kenya Uhuru Kenyatta following his nomination in December 2016. He succeeded Ahmed Issack Hassan.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amelazwa ICU

    Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU == Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi. Bw...
  2. A

    Chebukati yupo wapi?

    Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Kenya yupo wapi? Au nae anaandika kitabu chake (Autobiography) ili awaombe wa-Kenya msamaha?
  3. Rais Ruto: Kulikuwa na jaribio la kumteka, kumuua Wafula Chebukati

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema mazingira hayo yalikuwa yanamhusu Mwenyekiti huyo wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati wakati wa uchaguzi wa Agosti 2022. Amesema "Tunajua mpango huo ulikuwepo ili kuimaliza nguvu tume, ulikuwa wakati mgumu, baridi na upweke, vitisho...
  4. Chebukati: Mahakama ya Juu imethibitisha Haki Yetu

    Baada ya Rais Mteule William Ruto kuzungumza na wanahabari muda mchache uliopita, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) anazungumza na wanahabari muda huu Fuatilia hapa sasa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imesema hukumu ya Mahakama ya Juu ni ushahidi kwamba mchakato wa...
  5. Kenya 2022 Mwanasheria Mkuu apinga madai ya Chebukati kushinikizwa kubadili Matokeo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa walijaribu kumshinikiza kutomtangaza William Ruto kuwa Rais Mteule. Mwanasheria Mkuu pia...
  6. Hatua 10 zinazoweza kumuondoa Chebukati ndani ya Tume ya Uchaguzi

    Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato pekee unaoweza kufuatwa. - Ibara ya 251(2) ya Katiba inatamka kwamba mtu anayetaka kumwondoa Mwenyekiti...
  7. B

    Chebukati na Watuhumiwa: Wanaposubiriana kusema "SU"

    Ilikuwa Chebukati kwa watuhumiwa, sasa watuhumiwa nao wadai kumbe Chebukati alikuwa na biashara kwao na ushahidi upo. Tuju: Chebukati, two commissioners were bidding before the elections Hadi mwisho wa shauri hili, enyi walamba asali wa kwetu tambueni kuwa ujanja ujanja wenu umefikia mwisho...
  8. Ikiwa Chebukati alifuatwa na Vice Chief of Defence Forces! Je, Jecha alifuatwa na nani 2015 mpaka akapindua matokeo?

    Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta...
  9. Cherera: Chebukati anaendesha Tume ya Uchaguzi kama Ofisi yake binafsi

    Makamu mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Juliana Cherera, amezidi kumuanika Mwenyekiti, Wafula Chebukati, akimshutumu kwa "kukosekana kwa uwazi" katika kushughulikia uchaguzi wa Agosti 9. Katika hati yake ya kiapo kufuatia Pingamizi la uchaguzi wa Urais lililowasilishwa na...
  10. Kenya: Tume na Makamishna waliokataa Matokeo watofautiana uteuzi wa Mawakili

    Mzozo kati ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) unazidi kuongezeka baada ya pande hizo mbili kuteua Mawakili tofauti kuwawakilisha kwenye maombi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa IEBC Hussein Marjan aliifahamisha Mahakama Kuu wameteua...
  11. Kenya 2022 Mvurugano waendelea Tume ya Uchaguzi Kenya. Wafula Chebukati, Msaidizi wake waendeleza mtifuano

    Mvurugano ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeendelea baada ya viongozi wa juu wa tume hiyo Mwenyekiti Wafula Chebukati na Makamu wake, Juliana Cherera kupishana kauli wakiwa kwenye kikao cha pamoja. Viongozi hao wakiwa na wajumbe wenzao wa Tume pamoja na wawakilishi wa vyama...
  12. Kenya 2022 Chebukati: Makamishna wanne walishinikiza Uchaguzi urudiwe kinyume cha Sheria, Nilikataa

    Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Wafula Chebukati, amesema aliwazuia kuingia eneo la Bomas Makamishna wanne waliokana kutambua matokeo ya Urais kwa kulazimisha uchaguzi urudiwe. Chebukati ameshikilia msimamo wake kuwa Makamishna hao walipata matokeo yote na walihusika katika shughuli zote...
  13. Kenya 2022 Chebukati asimulia yaliyomkuta kabla ya kutangaza matokeo urais Kenya

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati amedai Jumatatu ya Agosti 15, 2022 alihangaishwa akiwa pamoja na makamishna na wafanyakazi wa tume hiyo ya uchaguzi. Chebukati amewataja makamishna wawili, Bolu Moya na Profesa Abdi Guliye pamoja na afisa mkuu wa IEBC Marjan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…