Hello,
Ni miaka 7 sasa mishahara tunapokea tarehe 21, 22 au 23. Kama tarehe 21 ikiangukia katikati au mwisho wa wiki mshahara tunaupata tarehe hiyo.
Kama tarehe 21 ikiwa Jumapili au Jumatatu basi Jumanne tarehe 22 tunapata mshahara. Sasa jana tarehe 22 Jumanne kwa kawaida ilibidi watumishi...
Hii hali ipo kwa kila dereva? Nina tatizo la kutofika kabisa mwisho wa safari hata nikibadilisha rubber maana mimi ni mpenzi wa kutumia raba naogopa mpigiri.
Juzi moja nilipata gari moja hivi nikaendesha kwa muda wa saa 3 lakini nikashindwa kufika kbs safari ya Kibaha tu. Nikabadilisha raba...
RIWAYA; CHELEWA UZIKWE!
NA; BAHATI K MWAMBA
SIMU; 0758573660/0624155629.
DAR ES SALAAM….
Kelele za muito wa simu zilimuamsha katikati ya usiku mnene. Alijivuta kivivu huku akijaribu kushindana na uzito wa macho yake. Aliifikia simu yake na kutazama mpigaji.
Haraka alinyanyuka kitandani na...
Mimi ndimi comrade.
Hii mbanga imekaaje waseeee?
Eeebbaaanaae! Mimi sielewi hii hali inaletwa na nini, yani wakati wa mbungi napiga sana shoo lakini unaweza kuta natumia dakika 45 mpaka lisaa limoja mpaka nikojoe.
Duuuh! Hili si tatizo? Mbona naskia goli la kwanza linawahi?
Maana mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.