RIWAYA; CHELEWA UZIKWE!
NA; BAHATI K MWAMBA
SIMU; 0758573660/0624155629.
DAR ES SALAAM….
Kelele za muito wa simu zilimuamsha katikati ya usiku mnene. Alijivuta kivivu huku akijaribu kushindana na uzito wa macho yake. Aliifikia simu yake na kutazama mpigaji.
Haraka alinyanyuka kitandani na...