chemba za majitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Mbeya: Chemba ya Maji taka Mitaa ya Forest ya Zamani inamwaga maji ya kinyesi mtaani na inachukulia poa tu

    Habari ndugu zangu wana jukwaa wenzangu. Hili Jiji la Mbeya licha ya kukumbwa na ugonjwa wa Kipindupindu ambao kila siku tunasikia Serikali inapambana nao lakini hali ya uchafu katika baadhi ya maeneo inaendelea kuongezeka. Na hizi mvua zinazoendelea kunyesha ndiyo zinazidi kusambaza uchafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…