chenga za mchele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Adimu

    Wapi naweza kununua chenga za mchele Dar es Salaam?

    Habarini za muda huu ndugu Watanzania. Naomba kujuzwa ni wapi wananunua chenga za mchele kwa hapa Dar es salaam. Kwa wale mnaojua chenga za mchele ni wapi zinanunuliwa zinazotokea mikoa mbali mbali, ahsanteni.
Back
Top Bottom