chenji kwenye vivuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kivuko cha Busisi - Kigongo chenji ikibaki sh. 100 hurudishiwi kwa kisingizio hakuna chenji

    Ukifika kivuko Cha Busisi mkoani Mwanza unakuta tangazo kuwa kuna changamoto ya chenji ya Sh mia, ukichungulia mezani kuna silver za mia Tano na mia mbili, nauli ya kuvuka ni TSH 400 kwa mtu mzima lakini ukitoka sh 500 unapewa risiti yenye thamani ya 400 inayobaki hupewi. Je, huwa wanazipeleka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…