NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.
Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu...