Habari ya majukumu,
Mimi niliomba cheti cha kifo cha mzazi, majibu yametoka ‘fika ofisi za RITA Bukoba Kagera uchukue cheti chako’, nami kwasasa niko Arusha
Naweza kufanyeje Ili nipate nakala ya cheti hicho?
Asanteni kwa msaada wenu 🙏🙏
Habari ZENU,
Mimi nilivyomaliza shule ya Msingi nilipelekwa Lushoto, huko sikusoma form one ilikuwa direct form two na kaka angu mtoto wa ba mkubwa ndie alikuwa ananisimamia kusema nina akili nisisome form one.
Baadae akaniambia jina langu limegoma hivyo akaniandikia jina la mdogo wake ambae...
Ndugu Mkurugenzi wa Ritta
Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019
Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29
alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu
Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne...
Binadamu wote ni lazima tupitie kifo ikiwa ndio mwisho wa maisha yetu hapa duniani. Wakati wa uhai mtu unaweza kumiliki mali zinazohamishika na zisizohamishika mahali tofauti tofauti ndani au nje ya nchi ya Tanzania. Kuondoka kwako duniani kwa njia ya kifo hakufanyi mali zako zipotee kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.