Habari! na Karibu, Kupitia video hii leo nitakujuza jinsi ya kuomba Leseni/Cheti cha Usajili wa Kiwanda kwenye mfumo wa BOS.
Baada ya kuingia kwenye mfumo bofya sehemu iliyoandikwa Industrial Licence na ukurasa ukifunguka utabofya sehemu iliyoandikwa Apply New Licence/Certificate na baada ya...